Tigo Fixed Telephony

Tigo Fixed Telephony

Rasputin

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2018
Posts
557
Reaction score
685
Habarini wakuu,

Nimejaribu kufanya utafiti kidogo wa kujua gharama za Fixed Telephony (E1) ya tigo lakini nimeambulia patupu. ningependa kujua kama kuna mtu anayeweza kua anajua akanisaidi insights za hapa na pale.

Shukrani.
 
Unaitaji E1 una traffic kubwa ya line na je utaitaji DID vip kuusu toll Free number na kuusu galama provider ndo mwenye kutoa mchanganuo
 
Back
Top Bottom