Edson Silumbe
Member
- Nov 27, 2010
- 52
- 27
Habari ya uingereza mkuu
1GB = 1024MB ukikotoa wamepunguza 224MB ni nyingi sana. 200MB kwa kifurushi cha siku ni 1000/=.
Harufu ya wizi kabisa hapa.
Kabisa aisee, hamna jinsi .Tuwakimbie ndio dawa yao
uende wapi? wote weziTuwakimbie ndio dawa yao
mkuu halotel si wanakupa 1.2mb kwa buku 2!mi nadunda tu line zangu zote za university, najichagulia,
Hovyo kuliko wote ni Halotel