Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huduma ya mawasiliano ni anasa kwa Tanzania-sijui TCRA wanafanya kazi gani,kama mjuavyo makampuni ya simu yapo katika kundi la oligopoly market hivyo labda makampuni mengine nayo ikawa hivyo
1GB = 1024MB ukikotoa wamepunguza 224MB ni nyingi sana. 200MB kwa kifurushi cha siku ni 1000/=.
Harufu ya wizi kabisa hapa.
KUNA KIPINDI NILISIKIA TANZANIA NDIYO NCHI KWA AFRICA AMBAYO BUNDLE ZA INTERNET NI CHEAP SIJUI KUNA UKWELIMnaanza kuwa kama Ethiopia sasa.
Mb -200 unainunua kwa $4
Huko nako wameshakuwa wa ovyo siku hizi.Karibuni ttcl
Hakuna kifurushi kama hicho ttcl.MI NAKOMAA NA TTCL BANDIKA BANDUA 5000-GB 8 WEEK SIO MBAYA KWANGU
MADOGO NILOWAACHA PREFORM 1 WAKO CHUO
*148*30# CHAGUA NO 3Hakuna kifurushi kama hicho ttcl.
[emoji115]Greetings folks,
I am writing to air my disappointment with tiGo Tanzania data prices!
Every day i pay Tshs 2000 for a 1Gb Internet Bundle!
Surprisingly,Today i can only get 800 Mb at the same price,a significant reduction of 200Mb frm their package!
This is hilarious and a new form of theft to an already squeezed customer[emoji30][emoji30][emoji30]
Eti ni kwa nini hyo offer inachagua watu.[emoji115]View attachment 1100473
TAPELI HUYU KUWENI NAE MAKINI[emoji115]View attachment 1100473
Achana na hao wapuuzi, Zantel watakupa 1GB kwa buku tena ukiwa nje ya Dar ni Unlimited mpaka utakapokimaliza. Kwanini ukumbatie washenzi mkuu? On top of that kuna dakika 45 mitandao yote bila kikomo kwa buku hio hio kama ilivyo halichachiGreetings folks,