Tigo Internet Prices have Skyrocketed

huduma ya mawasiliano ni anasa kwa Tanzania-sijui TCRA wanafanya kazi gani,kama mjuavyo makampuni ya simu yapo katika kundi la oligopoly market hivyo labda makampuni mengine nayo ikawa hivyo

Daaaaaaah yaaani imekuwa anasa kabisaaaaaa,bei ni za hovyo sana
 
[emoji115]
 
Achana na hao wapuuzi, Zantel watakupa 1GB kwa buku tena ukiwa nje ya Dar ni Unlimited mpaka utakapokimaliza. Kwanini ukumbatie washenzi mkuu? On top of that kuna dakika 45 mitandao yote bila kikomo kwa buku hio hio kama ilivyo halichachi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…