Mimi kinachoniuma promotion kibaoooooo huduma mbovuuuuu na hamshtuki wala kutoa maelezo kwa nini huduma iko hivo....kama huawei wameshindwa kazi jamani kuna haja ya kuendelea kuwang'ang'ania ? kwa nini kila siku msemwe nyie tu au ndio msharidhika na mlichokipata ???? mnaboa sana aisee
tigo internet ni mbovu long time kitambo, hata kabla Huawei hawajachukua maintainance, kwa kifupi ni kwamba toka wafanye 3G installation, hawajawahi fanya optimization.