Tigo internet sucks ni mbovu sana mnaudhiii

Tigo internet sucks ni mbovu sana mnaudhiii

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Mimi kinachoniuma promotion kibaoooooo huduma mbovuuuuu na hamshtuki wala kutoa maelezo kwa nini huduma iko hivo....kama huawei wameshindwa kazi jamani kuna haja ya kuendelea kuwang'ang'ania ? kwa nini kila siku msemwe nyie tu au ndio msharidhika na mlichokipata ???? mnaboa sana aisee
 
Niko na li internet lao hapa...yaani natamani kupasua line!!! hili bando likiisha narudi zangu voda potelea mbali!!!
 
tigo internet ni mbovu long time kitambo, hata kabla Huawei hawajachukua maintainance, kwa kifupi ni kwamba toka wafanye 3G installation, hawajawahi fanya optimization.
 
Pamoja na ofa zao nyingi tigo ni mbovu sana upande wa internet. sehemu nyingi tigo inasumbua tofauti na voda au airtel
 
Tigo bado hawajielewi kabisa,yaan internet yao in mbovu ASA kama tanga,yani nawapa zero negative(-0).
 
yyyaaaaannnniiii tigo ni hovyo kabisa, hadi mnakera, ngoja nitupe li line lao naingia airtel
 
Back
Top Bottom