Hata Raisi wa Tanzania na viongozi wengine hawatibiwi Tanzania!
Ndo nchi yetu hiii
Mtu ni mfanyakazi wa DAWASA lakini nyumbani kachimba kisima
mwingine yupo TANESCO nyumbani ana solar
mwingine yupo TIGO but simu zake ni airtel na Smart
mwingine yupo Azam tv nyumbani ana DSTV
aliekuwepo AZAM juice nyumbani anakunywa fresh juice only.....