Tigo: Kampuni pekee ambayo wafanyakazi wake hawatumii huduma zake

Tigo: Kampuni pekee ambayo wafanyakazi wake hawatumii huduma zake

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
'' Ndugu Mteja, tunakutaarifu kwamba HATUTAKUWA NA MAREKEBISHO YA KIUFUNDI, taarifa zilizoenea si za kweli. Huduma zetu zote zitaendelea kupatikana kama kawaida'' - Tigo

====

Huduma zenu jamani mbovu sana hasa za Data, mna matatizo gani? Mpaka wafanyakazi wenu wanatumia Modem za makampuni mengine.
 
Ndo nchi yetu hiii

Mtu ni mfanyakazi wa DAWASA lakini nyumbani kachimba kisima

mwingine yupo TANESCO nyumbani ana solar

mwingine yupo TIGO but simu zake ni airtel na Smart

mwingine yupo Azam tv nyumbani ana DSTV

aliekuwepo AZAM juice nyumbani anakunywa fresh juice only.....
 
Wateja makini na bora husababisha kampuni kutoa huduma bora, ukiona kampuni inatoa huduma za hovyo kwa kiasi furani Wateja wa hiyo kampuni si makini.
 
Mswahili wa Maneromango anaitwa Ze Bosi...lol (kidding)

Ndo nchi yetu hiii

Mtu ni mfanyakazi wa DAWASA lakini nyumbani kachimba kisima

mwingine yupo TANESCO nyumbani ana solar

mwingine yupo TIGO but simu zake ni airtel na Smart

mwingine yupo Azam tv nyumbani ana DSTV

aliekuwepo AZAM juice nyumbani anakunywa fresh juice only.....
 
Ajira za Tigo nadhani mnajua wanayopeana

makao makuu pale wanajua ushenzi dada zetu wanaofanyiwa
 
Ndo nchi yetu hiii

Mtu ni mfanyakazi wa DAWASA lakini nyumbani kachimba kisima

mwingine yupo TANESCO nyumbani ana solar

mwingine yupo TIGO but simu zake ni airtel na Smart

mwingine yupo Azam tv nyumbani ana DSTV

aliekuwepo AZAM juice nyumbani anakunywa fresh juice only.....

Nchi ngumu hii mkuu!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom