mzee Chibai
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 980
- 242
Kufanya kazi ofisi fulani ni jambo moja, kutumia huduma za ofisi unayofanyia kazi ni jambo lingine.
Unajadili hoja kwa kutumia lugha/mawazo mepesi sana.. Usirahisishe mambo..!!
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ata bakhresa sidhani kama anakunywa maji ya uhai
Uko sawa kabisa mkuu,naamini Kabisa yule anakunywa Kilimanjaro kwa jinsi yale maji ya uhai yanvyonuka tope
Ajira za Tigo nadhani mnajua wanayopeana
makao makuu pale wanajua ushenzi dada zetu wanaofanyiwa
Mh hii hoja ni nzito sana sijui kama unaweza kuijazia nyama???japo na sie tuelewe
mwingine anafanya kazi jamiiforums lakini anatumia twitter:lol: