Tigo: Kampuni pekee ambayo wafanyakazi wake hawatumii huduma zake

Tigo: Kampuni pekee ambayo wafanyakazi wake hawatumii huduma zake

Kufanya kazi ofisi fulani ni jambo moja, kutumia huduma za ofisi unayofanyia kazi ni jambo lingine.

Unajadili hoja kwa kutumia lugha/mawazo mepesi sana.. Usirahisishe mambo..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Uko sawa kabisa mkuu,naamini Kabisa yule anakunywa Kilimanjaro kwa jinsi yale maji ya uhai yanvyonuka tope

Hayanuki tope kwasababu hayachujwi kwa reverse osmosis njia ambayo maji ya kilimanjaro yana tengenezwa nayo.
 
Ajira za Tigo nadhani mnajua wanayopeana

makao makuu pale wanajua ushenzi dada zetu wanaofanyiwa




Mh hii hoja ni nzito sana sijui kama unaweza kuijazia nyama???japo na sie tuelewe
 
hiyo ni kweli kwani siri ya mtungi aijuae kata. Hata mimi nafanya kazi kampuni ya Zanzi com halafu natumia Tigo hiyo ni kawaida kabisa
 
themo.jpg
 
Back
Top Bottom