Kwa masikitiko makubwa naandika baada ya tigo kukwama kunirudishia line yangu hewani iliyopotea karibu mwezi sasa na line hiyo niliisajili kwa kutumia namba ya NIDA .
Line nilipoteza tarehe 26 july 2020,na kwa sababu ya changamoto ya mtandao wa police loss report nikaja kupata loss report mapema august, na kuipeleka tigo ili waweze nilirudishia hiyo line hewani.
Katika hatua za kurenew kila kitu cha awali kuhusu kuweka alama za vidole nk ilikuwa inaenda sawa ila nikiweka line kwenye simu line inaandika registration failed, Tigo shops mbili kwa wakati tofauti wame report back office na hii ni wiki ya nne bila mafanikio.
Wao wanadai ni tatizo si la mtu mmoja na linafanyiwa kazi,ila kwa wiki nne hizi bila kupata suluhisho inasikitisha ukizingatia wengine tunaishi kwa kufanya bishara na watu kupitia simu na line uliyotumia zaidi ya miaka kumi ndio inafahamika na wadau.
Tigo jalini wateja wenu