FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwahiyo kumbe wanafanya makusudi?0713123059 kuna jamaa anaitwa Said alikuwepo Makumbusho TIGO HQ, niliwahi kurenew line mwaka juzi ikawa na hiyo shida ya kuandika registration failed.
Nilipiga trip sana.
Kuna siku nikawa namwelezea mhudumu wa kike pembeni yake kama shombe hivi jinsi ninavyosumbuka na hiyo shida. Said akasema nimpe hiyo simcard aishughulikie, dk 2 tu kitu ikawa hewani.