Tigo ku-renew line imekuwa ni kitu kisichowezekana tena?

Kwahiyo kumbe wanafanya makusudi?
 
Huo upuuzi wa kupelekana polisi kisa loss report sijui na bla blah zisizo na mpango aheri kununua line mpya tu. Contacts weka iCloud ama Google kisha unawatwangia wateja wako upya kulikoni usumbufu utakaoupata ku renew line.
Hujawahi kufanya biashara wewe
 
Huweki zaidi ya 50k? Kwahiyo wewe malengo yako ya kibiashara ni kufanya biashara za maandazi tu, si ndio?
 
Huweki zaidi ya 50k? Kwahiyo wewe malengo yako ya kibiashara ni kufanya biashara za maandazi tu, si ndio?
Mkuu kwan transactions zote lazima zifanyike kupitia Sim ? Au unafanya Sim ndio kibubu ?
 
sio tigo tu,mimi nina airtel nili renew ina miezi mi4 sasa upande wa airtel money haufanyi kazi,ukpga menu Haiji kbsa nimepga customer care wanadai wanashughulikia tatizo,nimewaacha watajua wenyewe huu mwezi wa 4 sasa.

hela naweka hukoo kwenye laini nyingine,hii mitandao ya tz ukipoteza laini kama huwezi tafuta laini yako nyingine Basi usiwe mtu mwenye hasira za karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…