Tigo kuhama kutoka Derm complex kwenda pssf towers

Tigo kuhama kutoka Derm complex kwenda pssf towers

Ukiachana na uzuri wa jengo,pia ni eneo zuri kibiashra,kuna taasisi nyingi hili eneo
IMG_20220430_114711.jpg


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Dah sasa vijiwe vyetu vya kupata maji yetu yale ya ilala hapo karibu kituo cha mafuta cha BP na hapo mawasiliano Tower vitakuwa vinajaa watu wa hii Kampuni.....
Kabisa mkuu, na Wale jamaa wengi sana wapo karibia 400
 
Kwahiyo ndio wapandishe gharama za vifurushi!? Tunawachangia bajeti ya kuhama!! [emoji848]
Mi nahisi itakuwa ni bei kitonga ikizingatiwa ni la serikali......pia nasikia Tigo Tanzania imeuzwa kwa mwekezaji mwingine
 
Ujenzi wa hizi tower uliathiriwa na serikali kuamia dodoma. Mashirika na taasisi nyingi za kiserikali zikaama. Wajenzi walitegemea wapangaji wakuu kua hao.

Pia kufubaza kwa uchumi kukapeleka kampuni nyingi kushindwa kujitanua
 
Haitusaidii chochote zaidi ya kupora vifurushi vyetu vya internet ukweli wanaboa sana hawa tigo.
 
Hatimaye skyscraper hili refu nalo litapata mpangaji kidogo wa maana ,asee linatia huruma kwa sasa.
Eti mambilioni yaliyalala pale wamekuja kumkodishia dkt rahabu yule tiba mbadala ya vidonda vya tumbo
 
Back
Top Bottom