Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
Kwa nini tigo mnatutoza pesa huduma kwa wateja? Mimi ni mteja wenu nikitaka kuongea na mtoa huduma wenu lazima nilipe tsh 50 mbona ni uonevu huo? Au mnataka tusiombe msaada huduma kwa wateja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa mteja loyal customer wa Tigo, ulikuwa mtandao wangu wa kwanza lakini kwa sasa nimetokea kuichukia sana tigo natamani hata kuitupa line yangu ya tigo ili nisitamani hata kuitumia. Kwanza wanakata kiasi kikubwa ukilinganisha na wanachotangaza, pili kila huduma unayotaka kwao wanakata pesa eg ukimtumia hata mzazi wako pesa wanakata asilimia 0.3% ya pesa uliotuma. Hii inamaana wanakuchaji mara mbili, sielewi kwa nini wanikate wakati nimenunua credit ambayo naweza kuitumia kwa jinsi ninavyotaka. Tigo acheni kutafuta pesa kwa nguvu namna hiyo muwajali na wateja wenu..nashauri makato haya wayaweke kwenye matangazo yao ili mteja awe amejiandaa kuliko kama ilivyo sasa...wazo langu kwa TIGO.
No bora lakini tigo ndio wanaoongoza kwa huduma kwa wateja zilizo mbaya harafu wanakulipisha.Sometime even us we have to Think, What is Tshs.50.00 kama umepata huduma nzuri? au usipate kwa Tshs. 50?
una hakika na unacho-kinena?Tigo Kimeooo! Mambo iko Airtel... Wanakuja kasi subirini muone! mtakufa kibudu na tigo yenu nyie tigo. Mliweza kuliteka soko sasa mmebweteka.
Sometime even us we have to Think, What is Tshs.50.00 kama umepata huduma nzuri? au usipate kwa Tshs. 50?