KERO tiGO Mbagala Zakhiem branch kuna wizi unafanyika kupata namba ya Lipa kwa simu

KERO tiGO Mbagala Zakhiem branch kuna wizi unafanyika kupata namba ya Lipa kwa simu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna mchezo mchafu unafanyika kwenye branch ya Mbagala Zakhiem upande wa Lipa kwa simu, HQ wanasema ni bure kupata number ya Lipa kwa simu ila ukifika kwenye hii branch Wanatoza 10,000 kwa ajili ya hii huduma.

Je, huu wizi umebarikiwa na manager wa branch?
 
Mkono mtupu haulambwi ndugu yangu, vinginevyo utachelewa sana
 
Back
Top Bottom