Umemaliza kazi... na kweli ni shithole mtandao
Hamia TTCL mkuuMtandao stupid ni Tigo! Tungelikuwa watu tungeliususia wajirekebishe
Kifurushi cha aina moja, lakini bei zake zipo zaidi ya tatu tofauti!Umekuwa mtandao wa ovyo sana wanapunguza gharama za vifurushi bila taharifa wezi wakubwa,hawa ni kuwahama tu,tcra nao ni wadau tu wa kuibiwa watanzani hawana msaada wowote utafikiri wamelala usingizi,pumbav.
Sent using Jamii Forums mobile app
GB ngpNimejiunga leo mchana kwa 2500 cha week moja
My life is mine to remember
Kifurushi cha aina moja, lakini bei zake zipo zaidi ya tatu tofauti!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dakika 180GB ngp
Tatizo uchumi amigoHuu mtandao wa kipopoma sana, ina maana watu bado mpo tigo tu hadi leo?🤣🤣🤣
Si muhamie mnakopendwa jamani.
Wateja wa Tigo nawafananisha na hamorapa anavyopigania penzi la wema bila mafanikio 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna uzi humu imelalamikiwa sana tena sanaHamia TTCL mkuu
Bira ningekuwa gharama lakini kuwe na internet nzuri. Unakuta mtu ameweja G10 lakini hata YouTube inazingua Ku play. Nami nimewahama rasmiHuu mtandao umekuwa wa hovyo kuliko yote! Vifurushi vyao ni gharama sana, nilishatoa laini yao kitambo
Sent using Jamii Forums mobile app