Tigo mmebadilisha bei za vifurushi vya internet vya wiki?

Tigo mmebadilisha bei za vifurushi vya internet vya wiki?

Tigo ni wangese kama jina lao lilivyo..KMMk zao..kila siku maji kupwaa maji kujaa..(mtaniwia radhi)
 
Mwenzenu anazungumzia Tigo nyengine nyie mnazungumzia nyengine.
 
Habarini wadau na wanajf wote. Hongereni kwa kuuzingatia ushauri wa wataalamu wa afya ili kuzuia maambukizi mapya ya covid-19.
Nauliza Bei mpya ya vifurushi vya internet vya wiki kwa mtao wa tigo vimebadilika kutoka sh 3000/=?
nimejaribu kumnunua lakini napata and ya kuwa Sina salio la kutosha ilihali nimejaza vocha za sh 4000/= Kama Kuna mwenye kuyajua mabadiliko anisaidie tafadhali.
. wanapandisha gharama kimya kimya. halafu wana-double gharama. mimi nabakia kupokeaga simu tu. bundle zote nimezihamishia TTCL na halotel. tigo ipo kwa ajili ya kupigiwa na kupokea meseji tu.
 
Back
Top Bottom