tiGO mnatufukuza wateja wenu bila kujijua

tiGO mnatufukuza wateja wenu bila kujijua

Nilishawastukia muda mrefu sana, nikaiweka pembeni line yao, leo nikakumbuka kuwa wananidai nikaweka hwani na kulipa deni lao, then nimeifukia tana....
Sasa hivi nafurahia maisha na Zantel unaweka buku unaongea zaidi ya dk 40.

HAO ZANTEL WANAVUTIA BIASHARA TU ILI WAPAYE WATEJA THEN
CHA MOTO MTAKIONA!
TCRA WANAPAKA WANJA
WKT WANANJI TUNAPATA
tabu
 
Sina hakina kama hawa jamaa huwa wanafanya reconciliation na hivyo kuwarudishia wateja waliotozwa kimakosa.

Mkiweza naombeni mnirudishie Pesa Yangu Tshs. 5000 ambayo nilitaraji mngenitumia kama airtime baada ya kununua kupitia huduma yenu ya TiGo Pesa. Nimewapigia sana simu yenu ya customer care lakini haipokelewi zaidi ya kuniwekea muziki, nimejaribu option zote Kiwahili na Kiingereza lakini zote hazina majibu. Namba yenyewe ni 0713800800

Embu angalia transaction zifuatazo kisha mfuatilie na kujiuliza ni watu wangapi mnawaibia kwa makosa yenu?

1.
PHP:
umepokea Tsh 49,000 kutoka kwa xxxxxxxx, 06527xxx98. 13/10/2011 06:10 PM

2.
PHP:
Hamisho la fedha kwenda kwa XXXXX limekamilika; 065832xx66;  Kiasi Tsh. 30,000; Ada Tsh. 200; Salio la akaunti yako ni 18,800;  kumbukumbu no. PP111013.1820.C00387.

3.
PHP:
Nyongeza ya salio Tsh 5,000 imefanyika kikamilifu. Salio jipya la Tigo  Pesa ni Tsh 13,800; Namba ya utambulisho wa huduma RC111013.1821.C02324.
4.
PHP:
Your Request is under progress TXN ID: RC111013.1821.C02324 .Please wait for operator assitance.

5.
PHP:
Nyongeza ya salio Tsh 3,000 imefanyika kikamilifu. Salio jipya la Tigo  Pesa ni Tsh 10,800; Namba ya utambulisho wa huduma RC111013.1826.D02875.

Transaction namba tatu haijakamilika kama ujumbe wao unavyoonesha, nimecheck salio hamna kitu, piga simu haipokelewi. Kutokana na shida niliyokuwa nayo ilinilazimu ninunue tena Tshs. 3000/= ambayo ilikamilika.

Jamani, wadau tumekuwa tukilalamika sana kuhusu hii kampuni. Tufanyaje ili hawa jamaa wafanye kazi katika mazingira ya uwajibikaji? ni watu wangapi wanaibiwa na kuamua kukaa kimya kutokana na ufuatiliaji kuwa mgumu?
 
Swala kama hilo limenitokea jana.

Jana nilinunua Airtime ya shilingi 3000/= kwa njia ya Tigopesa, wakaniletea sms kuwa nyongeza imefanyika, baada ya kuangalia salio, hakuna.
Kwakuwa nilikuwa na shida nikaamua kununua tena 2000/= ikawa kama mwanzo.

Kwakuwa nilikuwa Moshi mjini, nikaamua kupitia Tigo makao makuu Moshi. Niliwaeleza tatizo langu, wakaandika namba ya simu pamoja na namba ya muamala. Waliniahidi kuwa watanirudishia salio langu ndani ya saa 24 lakini hadi ya muda huu hakuna lililofanyika.

Tigo acheni uhuni.
 
Mkuu pole sana, hawa jamaa wasipofanyia kazi hizi weakness za TiGo pesa watapoteza wateja wengi. Huu ni wizi wa waziwazi kabisa.

Tigo ni wezi tu sikiliza matangazo yao ................mara weka zaidi ya miatano upate mara 2 lakini si kweli.acha watuibie tu
 
hama huko.... Halafu kupiga simu garama zimepanda sana....
 
wamekuwa wezi wa kimachomacho dawa kuwakimbia mana bora wangetangaza na kulazimisha ma voice mail wakati mtu hujaomba hawafai kabisa tigo pesa inazingua nayo wezi watupu agrrrrrrr naachana nayo baada ya miaka kumi na tano toka enzi za kadi poa
 
hawa jamaa walisifiwa kuwa ni walipa kodi wazuri hii kodi inaingia serikalini ambako huko nako fedha zinaliwa na kutumika isivyo halali, sasa hawa TiGo wakijifanya kuwaliza wananchi watu tutawakimbia wasituzingue mitandao ipo mingi sasa ebo!!!!
 
uliacha tigo pesa tu hata mawasiliano ya kawaida tu wamepandisha gharama kinyemela
 
Acha tu ndugu yangu yaani sijui TCRA inafanya kazi gani. Je, nikitafuta lawyer nitakuwa na grounds za kuwawajibisha?
Nauliza hivyo kwa sababu hii hali ikiendelea hivi inaweza kuleta madhara. Kama unanunua airtime ili upige simu ya dharura si inakuwa hatari?

aisee, hizi transactions za via mobile zinatisha.
 
Mkuu pole sana, hawa jamaa wasipofanyia kazi hizi weakness za TiGo pesa watapoteza wateja wengi. Huu ni wizi wa waziwazi kabisa.

Hawa tigo ni matapeli mana hata mimi jana asubuhi nilinunua airtime ya 1000 kwa tigo pesa na wakanitumia sms kuchek salio hamna kitu
 
Mkuu pole sana, hawa jamaa wasipofanyia kazi hizi weakness za TiGo pesa watapoteza wateja wengi. Huu ni wizi wa waziwazi kabisa.

wamenikera sana. Hadi muda huu hakuna feedback yoyote na salio langu wamelilamba.
 
Hii mitandao ya simu ni wezi , ila tigo wamezidisha.
 
They have to be carefully especially in this competitive business; unless otherwise they are going to loose their customers including me.
 
Mimi natangaza vita na tiGO kuanzia muda huu.
 
Wanatengeneza faida kubwa kwa njia za utapeli! Mwenye contacts za wakubwa wao wa Group(MIC International) aziweke hapa ili walioibiwa wote watume emails za malalamiko. Ikishindikana tuangalie compliance requirements kwa international regulators ni zipi then tuwa advise kuhusu breaches and violations zinazofanywa na TiGo kwa hapa Tanzania.

Hawa tigo ni matapeli mana hata mimi jana asubuhi nilinunua airtime ya 1000 kwa tigo pesa na wakanitumia sms kuchek salio hamna kitu
 
Acha tu ndugu yangu yaani sijui TCRA inafanya kazi gani. Je, nikitafuta lawyer nitakuwa na grounds za kuwawajibisha?
Nauliza hivyo kwa sababu hii hali ikiendelea hivi inaweza kuleta madhara. Kama unanunua airtime ili upige simu ya dharura si inakuwa hatari?

mwizi lazma awajibishwe, wanasheria watatusaidia hapo.
 
Back
Top Bottom