Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Nilishawastukia muda mrefu sana, nikaiweka pembeni line yao, leo nikakumbuka kuwa wananidai nikaweka hwani na kulipa deni lao, then nimeifukia tana....
Sasa hivi nafurahia maisha na Zantel unaweka buku unaongea zaidi ya dk 40.
umepokea Tsh 49,000 kutoka kwa xxxxxxxx, 06527xxx98. 13/10/2011 06:10 PM
Hamisho la fedha kwenda kwa XXXXX limekamilika; 065832xx66; Kiasi Tsh. 30,000; Ada Tsh. 200; Salio la akaunti yako ni 18,800; kumbukumbu no. PP111013.1820.C00387.
Nyongeza ya salio Tsh 5,000 imefanyika kikamilifu. Salio jipya la Tigo Pesa ni Tsh 13,800; Namba ya utambulisho wa huduma RC111013.1821.C02324.
Your Request is under progress TXN ID: RC111013.1821.C02324 .Please wait for operator assitance.
Nyongeza ya salio Tsh 3,000 imefanyika kikamilifu. Salio jipya la Tigo Pesa ni Tsh 10,800; Namba ya utambulisho wa huduma RC111013.1826.D02875.
Swala kama hilo limenitokea jana.
Jana nilinunua Airtime ya shilingi 3000/= kwa njia ya Tigopesa, wakaniletea sms kuwa nyongeza imefanyika, baada ya kuangalia salio, hakuna.
Kwakuwa nilikuwa na shida nikaamua kununua tena 2000/= ikawa kama mwanzo.
Kwakuwa nilikuwa Moshi mjini, nikaamua kupitia Tigo makao makuu Moshi. Niliwaeleza tatizo langu, wakaandika namba ya simu pamoja na namba ya muamala. Waliniahidi kuwa watanirudishia salio langu ndani ya saa 24 lakini hadi ya muda huu hakuna lililofanyika.
Tigo acheni uhuni.
aisee, hizi transactions za via mobile zinatisha.
Mkuu pole sana, hawa jamaa wasipofanyia kazi hizi weakness za TiGo pesa watapoteza wateja wengi. Huu ni wizi wa waziwazi kabisa.
Mkuu pole sana, hawa jamaa wasipofanyia kazi hizi weakness za TiGo pesa watapoteza wateja wengi. Huu ni wizi wa waziwazi kabisa.
Hawa tigo ni matapeli mana hata mimi jana asubuhi nilinunua airtime ya 1000 kwa tigo pesa na wakanitumia sms kuchek salio hamna kitu
Acha tu ndugu yangu yaani sijui TCRA inafanya kazi gani. Je, nikitafuta lawyer nitakuwa na grounds za kuwawajibisha?
Nauliza hivyo kwa sababu hii hali ikiendelea hivi inaweza kuleta madhara. Kama unanunua airtime ili upige simu ya dharura si inakuwa hatari?
hata mimi wameniibia sanamwizi lazma awajibishwe, wanasheria watatusaidia hapo.