tiGO mnatufukuza wateja wenu bila kujijua

Nadhani maneno machafu na ya kukomoana hapa sio ishu.
If thz is da home of great thinkerz how great thnkrz wanaambiana maneno ma chafu oo sio ofisi yao.
Stop it now.
Niko poa ila tigo wanatakiwa wafanye equilibrium i mean capacity of da company be less or equal to service provided.wanazidiwa na wateja. Wanapasa waongeze viwango ili waweze kuwa active.
 
Sasa nahamia ttcl live mana nimechoka mara tigo wezi mara voda na mis tz kipindi cha msiba...pumbaf xana
 
Mi tangu juzi nshahamia Airtel....tig wahuni sana
 
Wapigie uwaambie sasa hapa ni ofisi yao?

Sikulaumu, kwa kuwa hata avatar yako inaendana na unachokiongea!!, Unaonekana ni kabinti fulani @@#$%!!!&.....Hivi!!, Huku JF umekosea njia nenda kwenye mitandao mingine!!!.
 
Hivi wajameni kampuni ya Tigo inajali wateja au,Niko KLM nilimtumia ndugu yangu pesa kwa huduma ya Tigo pesa na kwenye cmu yangu inaonekana salio limepungua na ndugu yangu amepokea sms ya kupata fedha ila akijaribu kutoa anaambiwa hana salio,Nikaenda kwenye ofisi zao wananiambia nipige 150 nimetumia zaidi ya 1000 bila kupokelewa,Hivi Tgo huduma wanazotoa wanawza kuziendesha au
 
Ndg yangu sema yatakuwa matatizo ya kiufundi si unajua matatizo ya mitandao nenda kwenye ofisi zao unnanane wa wahusika watakutatulia tatizo
 
hawana tofauti kabisaa na CCM kila kitu lazima wapotoshe ukweli kwa ajili ya manufaa yao binafsi.
Leo nasikia wanasema eti hawamjui mmiliki wa meli iliyozama.
 
Hiyo 150 ni kizungumkuti inaweza kuita siku nzima bila kupokelewa!
 
wanafikiri kwa masaburi....Thats why wana under perform
 
Tigo wana ubabaishaji sana,

Kuna wakati hata gharama zao hazieleweki.

Labda kama wanamaanisha ule usemi kuwa "cheap is always expensive"!!
 
Labda zile dk kumi wanazokupa baada ya kuongeza sh elfu moja ndio mara mbili yao ila hii nikwa hapa Dom cjui maeneo mengine ukiongeza kiasi hicho wanakupa bei gani
 
Labda zile dk kumi wanazokupa baada ya kuongeza sh elfu moja ndio mara mbili yao ila hii nikwa hapa Dom cjui maeneo mengine ukiongeza kiasi hicho wanakupa bei gani
DSM tunaibiwa.
Yaani tiGO haitofutiani sana na ile tigo chakula cha Lamu, Mombasa na Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…