Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,340 Reaction score 4,659 Mar 7, 2023 #1 Hizi tabia za kufanya simu zetu kama mabango ya matangazo yanazidi kunikera kwa siku unaweza kupokea hata text 10 za ofa zao wakati wanajua kuwa wanatukera. Nitakuja kuwashitaki.
Hizi tabia za kufanya simu zetu kama mabango ya matangazo yanazidi kunikera kwa siku unaweza kupokea hata text 10 za ofa zao wakati wanajua kuwa wanatukera. Nitakuja kuwashitaki.
Uwa zuri Senior Member Joined Feb 24, 2023 Posts 104 Reaction score 177 Mar 7, 2023 #2 Kawashitaki tu.