BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
- Thread starter
- #21
Ukitaka kuwapata fasta wapigie TIGO huduma ya wateja unatozwa sh.100 tu piga 0713800800
...Kwa maana hiyo kule 100 ya Dezo wanaweza waka-bz line makusudi ili upige hiyo ya mobile number ili wakule 100 yako! Kweli DECI ziko nyingi nchi hii!! 😡😡