MASSOUD AHMED
Member
- May 8, 2022
- 15
- 7
Hili swala la Tigo Na huduma yao ya postpaid bundle hatuitaki waiondoshe kwasababu ni kama aina flani ya kum-blackmail mtu.
Imagine unaunganishwa kwa kikundi na watu hata usiowajua then asipolipa mmoja wao nyote mnazuiwa kutumia laini kweli!
Wasipoangalia mitandao ipo mingi watapoteza wafuasi. Waondoshe bhana au wabadilishe utaratibu