tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
Ndio maana wanasema "Terms and conditions applied"Hili swala la Tigo Na huduma yao ya postpaid bundle hatuitaki waiondoshe kwasababu ni kama aina flani ya kum-blackmail mtu.
Imagine unaunganishwa kwa kikundi na watu ata usiowajua then asipolipa mmoja wao nyote mnazuiwa kutumia laini kweli...
Wasipoangalia mitandao ipo mingi watapoteza wafuasi.Waondoshe bhana au wabadilishe utaratibu
Kabla ya kutumia huduma soma na kuelewa hayo masharti na kuyaelewa.