MASSOUD AHMED
Member
- May 8, 2022
- 15
- 7
Hivi kwani tumeunganishwa na kikundi cha watu??Hili swala la Tigo Na huduma yao ya postpaid bundle hatuitaki waiondoshe kwasababu ni kama aina flani ya kum-blackmail mtu.
Imagine unaunganishwa kwa kikundi na watu ata usiowajua then asipolipa mmoja wao nyote mnazuiwa kutumia laini kweli...
Wasipoangalia mitandao ipo mingi watapoteza wafuasi.Waondoshe bhana au wabadilishe utaratibu
Nadhani kuna sisi wa mmoja mmojaHivi kwani tumeunganishwa na kikundi cha watu??
Mimi mbona sija experience ??
Au niliounganishwa nao wanalipa Kwa wakati?
Uwe kampuni. Peleka leseni sijui mbwembwe kibao.Kwanini uunganishwe na watu usiowaju?, ulikosa sifa ya kujisajiri mwenyewe?.
Unaweza kumuunganisha na jamaa yako ambaye alikosa sifa ya kujiunga mwenyewe....ambayo mnafahamiana vyema.Hivi kwani tumeunganishwa na kikundi cha watu??
Mimi mbona sija experience ??
Au niliounganishwa nao wanalipa Kwa wakati?
Inawezekana aiseeNadhani kuna sisi wa mmoja mmoja
Na kuna kina mtoa mada walioungwa kikundi
Yaah usumbufu flani.Uwe kampuni. Peleka leseni sijui mbwembwe kibao.
Vikundi ππWamefanya kama wale wamama wanaochukua mikopo kwa vikundi
Kwamba asipolipa mmoja wenzake wamchangie π
ππ kazi ipo.Aisee si tupo watatu, nimeunga ya 40k mbayo ni GB 48 wao wameunga za 15k wote wawili. Aisee ata hawalipii inanilostisha sana.
Daah wamekuangusha.Aisee si tupo watatu, nimeunga ya 40k mbayo ni GB 48 wao wameunga za 15k wote wawili. Aisee ata hawalipii inanilostisha sana.
Sifa ya kujiunga mwenyewe ni ipi??Unaweza kumuunganisha na jamaa yako ambaye alikosa sifa ya kujiunga mwenyewe....ambayo mnafahamiana vyema.
mambo ya upatu au sio..πNadhani kuna sisi wa mmoja mmoja
Na kuna kina mtoa mada walioungwa kikundi