Tigo na huduma yao ya postpaid bundle hatuitaki waiondoshe

Ndio maana wanasema "Terms and conditions applied"
Kabla ya kutumia huduma soma na kuelewa hayo masharti na kuyaelewa.
 
Ndio maana wanasema "Terms and conditions applied"
Kabla ya kutumia huduma soma na kuelewa hivyo vigezo na masharti uelewe vizuri kabla ya kutumia huduma yao.
 
Me nimeunganisha watu 4 na huwa hawalipi mpaka wafungiwe. Ila sio wasumbufu siku iyo iyo wanayofungiwa hulipa mda uwo uwo.
Nadhani kuna kusahau esp kwa tusiotumia sana laini… mm ya mwezi huu nilisahau, mpaka juzi nikawa naunga kifurushi nashangaa hakiungiki pesa inarudishwa Tigo pesa. Nikakumbuka sijawalipa πŸ˜‚ nikawalipa nikaendelea na maisha.
 
Nadhani kuna kusahau esp kwa tusiotumia sana laini… mm ya mwezi huu nilisahau, mpk juzi nikawa naunga kifurushi nashangaa hakiungiki pesa inarudishwa Tigo pesa. Nikakumbuka sijawalipa πŸ˜‚ nikawalipa nikaendelea na maisha
Yeah inawezekana
 

Attachments

  • InShot_20231222_220513278.jpg
    1 MB · Views: 41
Yani tunapata tabu sana aiseee ila wa kwangu naona wamestuka tukifungiwa tu wanalipia chapπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…