Tigo na huduma yao ya postpaid bundle hatuitaki waiondoshe

Amia halotel utaenjoy sana kaka. Yaani unakuwa unanunua mwenyewe tu kutokana na matumizi yako alafu bando lake linakaa sana.
Vigezo vya kujiunga na huduma hii vikoje?
 
Tigo postpaid ni huduma nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…