kitonsa
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 1,211
- 2,649
Niende kwenye mada.
Kama Kuna muhusika wa kampuni ya tigo humu ndani anifikishie amri yangu kwa mtu anayeusika, kuwa sitaki kusikia tangazo lao la karibu dakika mzima wakati napiga simu.
Yaani unatumia dakiki nzima kusikiliza vijielezo vyenu nikasajili simu wakati nimesha sajili? Mwisho wa maelezo simu yenyewe aipatikani.
Chonde chonde nitoleeni huu ujinga haraka sana.