Maanina hizi ndio matangazo zinanikera.
Mwanzoni walikuwa wanatuma kupitia namba zao zilizoanzia 15…, Nikawa naziblock. Matangazo yakapungua.
Now wamekuja na majina nashindwa kuziblock sms zao. Zikiingia najua ni mishe imekuja nakuta ni ufala wao.
Piga simu 100 mara kibao, wananiambia mimi ndio nilijiunga na hizo huduma ndio maana natumiwa message za hayo matangazo, wakati huo sijawahi tumia kabisa hiyo huduma wala kuitafuta menu yake.
Waliniambia namna ya kujitoa, nikafanya hivyo lakini baada ya masaa machache nikaona message inaingia tena matangazo yao yale yale.