Tigo pesa ina shida gani leo?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Toka saa 11 alfajiri nataka kumtumia mtu pesa kupitia number yangu ya simu lakini kila nikijaribu naambiwa connection error.

Kuna mwingine amekutana na hiyo changamoto au ni simu yangu ndio ina tatizo?
 
Ni tatizo la mtandao tu linatokeaga mara kwa mara kwa mitandao yote ile sio tigo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…