MTOTO KITAA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 245
- 116
Wakuu heshima kwenu, tunauza laini za tigo pesa, mpesa, na airtel money. M pesa ni 100000, airtel money 100000, tigo pesa ni laki tatu, kumbuka, sisi tunakuunganisha na mawakala, na pia hizo laini unatengenezewa kwa jina lako, kuhusu sisi malipo, utatufikilia cha juu chetu.... Tunapatikana wilaya ya mkuranga, unatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo, tin namba ya tra, leseni ya biashara, barua ya mtendaji, na kitambulisho cha kura. Kwa mawasiliano piga 0757950376, asanteni