Tigo pesa, m-pesa, airtel money....changamkia faster

MTOTO KITAA

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
245
Reaction score
116
Wakuu heshima kwenu, tunauza laini za tigo pesa, mpesa, na airtel money. M pesa ni 100000, airtel money 100000, tigo pesa ni laki tatu, kumbuka, sisi tunakuunganisha na mawakala, na pia hizo laini unatengenezewa kwa jina lako, kuhusu sisi malipo, utatufikilia cha juu chetu.... Tunapatikana wilaya ya mkuranga, unatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo, tin namba ya tra, leseni ya biashara, barua ya mtendaji, na kitambulisho cha kura. Kwa mawasiliano piga 0757950376, asanteni
 
Hii biashara sio burning kama mwanzo.. Ina challenges nyingi sana.. Infact, unaweza kutoa pesa kutoka kwenye simu yako kupitia ATM..
 
tgo nayo ni laki wakuu na biashara imeingia nyoka maana walikuwa wanalinga wakubwa na xaizi wanawinda wa kuwinda mara ya kwanza walikua wanajiona wameshnda xaiz hata kwa laki wanatafuta wateja teh the teh teh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…