Tigo Pesa mnaudhi, nimenunua umeme juzi mpaka sasa sijapata

BONTABOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2015
Posts
234
Reaction score
238
Habari za asubuhi najuta kununua luku kwa kupitia tigo pesa nimenunua umeme saa 16:02 Tarehe 28.06.2021 mpaka sasa sijapata umeme majibu hayaridhishi, basi kama mmeshindwa si mrudishe pesa ya mteja.

Umelipa TSh 40,000 kwa ajili ya LUKU, No. ya kampuni: 001002, kumbukumbu ya malipo:22118028400. Muamala: 92733858024. Salio jipya ni TSh 160. Ada 800. VAT TSh 122. 28/06/21 16:02.

Ndugu mteja tunapenda kukujulisha kwamba tiketi yako namba NL371634781 bado tunaifanyia kazi na tutakujulisha punde itakapo kamilika.
 
Sijajua kwako mimi jana nimenunua umeme wa 30000 kupitia Tigopesa nikaupata hapo hapo.
 
Habari za asubuhi najuta kununua luku kwa kupitia tigo pesa nimenunua umeme saa 16:02 Tarehe 28.06.2021 mpaka sasa sijapata umeme majibu hayaridhishi, basi kama mmeshindwa si mrudishe pesa ya mteja.

Umelipa TSh 40,000 kwa ajili ya LUKU, No. ya kampuni: 001002, kumbukumbu ya malipo:22118028400. Muamala: 92733858024. Salio jipya ni TSh 160. Ada 800. VAT TSh 122. 28/06/21 16:02.

Ndugu mteja tunapenda kukujulisha kwamba tiketi yako namba NL371634781 bado tunaifanyia kazi na tutakujulisha punde itakapo kamilika.
Haya Malalamiko yako hapa yanastahili?
 
UKUTE NI HELA ZA WAPANGAJI WENZAKO UMEKUSANYA NA BABA KIBUTU NI MPANGAJI MWENZAKO
 
kuwa na adabu wewe wengine hatuna history ya kupanga katika maisha
Sawa mkuu, nilisahau Kuna wengine walianza na ufadhili wa nyumba za wazazi wao au wakwe zao.Samahani sana mkuu.Mheshimu sana baba mkwe kwa ufadhili
 
Back
Top Bottom