Shida ni GepG sio tigo
hapo chini nimeambatanisha jibu baada ya kuwasilaana nao kwa simu
Sijajua kwako mimi jana nimenunua umeme wa 30000 kupitia Tigopesa nikaupata hapo hapo.Habari za asubuhi najuta kununua luku kwa kupitia tigo pesa nimenunua umeme saa 16:02 Tarehe 28.06.2021 mpaka sasa sijapata umeme majibu hayaridhishi, basi kama mmeshindwa si mrudishe pesa ya mteja.
Umelipa TSh 40,000 kwa ajili ya LUKU, No. ya kampuni: 001002, kumbukumbu ya malipo:22118028400. Muamala: 92733858024. Salio jipya ni TSh 160. Ada 800. VAT TSh 122. 28/06/21 16:02.
Ndugu mteja tunapenda kukujulisha kwamba tiketi yako namba NL371634781 bado tunaifanyia kazi na tutakujulisha punde itakapo kamilika.
Ukiwasiliana nao lazima watakujibu hivyohapo chini nimeambatanisha jibu baada ya kuwasilaana nao kwa simu
Haya Malalamiko yako hapa yanastahili?Habari za asubuhi najuta kununua luku kwa kupitia tigo pesa nimenunua umeme saa 16:02 Tarehe 28.06.2021 mpaka sasa sijapata umeme majibu hayaridhishi, basi kama mmeshindwa si mrudishe pesa ya mteja.
Umelipa TSh 40,000 kwa ajili ya LUKU, No. ya kampuni: 001002, kumbukumbu ya malipo:22118028400. Muamala: 92733858024. Salio jipya ni TSh 160. Ada 800. VAT TSh 122. 28/06/21 16:02.
Ndugu mteja tunapenda kukujulisha kwamba tiketi yako namba NL371634781 bado tunaifanyia kazi na tutakujulisha punde itakapo kamilika.
UKUTE NI HELA ZA WAPANGAJI WENZAKO UMEKUSANYA NA BABA KIBUTU NI MPANGAJI MWENZAKOHabari za asubuhi najuta kununua luku kwa kupitia tigo pesa nimenunua umeme saa 16:02 Tarehe 28.06.2021 mpaka sasa sijapata umeme majibu hayaridhishi, basi kama mmeshindwa si mrudishe pesa ya mteja.
Umelipa TSh 40,000 kwa ajili ya LUKU, No. ya kampuni: 001002, kumbukumbu ya malipo:22118028400. Muamala: 92733858024. Salio jipya ni TSh 160. Ada 800. VAT TSh 122. 28/06/21 16:02.
Ndugu mteja tunapenda kukujulisha kwamba tiketi yako namba NL371634781 bado tunaifanyia kazi na tutakujulisha punde itakapo kamilika.
kuwa na adabu wewe wengine hatuna history ya kupanga katika maishaUKUTE NI HELA ZA WAPANGAJI WENZAKO UMEKUSANYA NA BABA KIBUTU NI MPANGAJI MWENZAKO
Sawa mkuu, nilisahau Kuna wengine walianza na ufadhili wa nyumba za wazazi wao au wakwe zao.Samahani sana mkuu.Mheshimu sana baba mkwe kwa ufadhilikuwa na adabu wewe wengine hatuna history ya kupanga katika maisha