Tigo rudisheni hela yangu

Tigo rudisheni hela yangu

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
Wakuu mko vyedi najua,

Baada ya vifurushi kuwa patashida, mwaka jana November nilijiunga TIgo Post paid. Nililipia mwezi wa 11 lakini mpaka leo sijaunganishwa.

Wakala wao ananiambia zinashunghulikiwa kila siku. Mara aniambie nimeshaunganishwa wakati mimi sioni upande wangu. Kiukweli tigo rudisheni pesa yangu vinginevyo tutakutana mahakamani kwa hasara mliyonisababishia.
 
Ukiweza anua tanga maisha yasonge hiyo pesa hairudi trust me.. Utazungushwa mpaka ukome
 
Back
Top Bottom