TIGO sasa ile laki 8 yenu ya nivushe plus tumemalizana kiaina. Ngoja nisajili line ya YAS

Mliposikia Mh. Lissu Rais ajaye wa Tanzania kufungua kesi ng'ambo nanyi mkajiona wajanja mkabadili jina la kampuni.
Sidhani kama mnaweza kuwakimbia wanasheria wabobezi kwa namna hiyo.
Ok yote kwa yote na Mimi laki 8 yenu napita nayo shwaah. Siwezi kumlipa YAS, Mimi simfahamu
Mnafikiri matumizi ya nida yalikuja bure tu..??
taarifa zako zipo mpk benki kama ulikuwa haujui hilo deni siku ukienda kukopa benki, benki husika wataangalia historia yako ya mikopo hapo ndipo watakapokosa uaminifu nawewe ndo utajua haujui!..
lipeni madeni yenu ya kwenye line za simu hizo ni cv.
 
Nchi inadawa kulikoni hizo bank
Kama ni hivyo nchi isingekopeshwa
 
Mnafikiri matumizi ya nida yalikuja bure tu..??
taarifa zako zipo mpk benki kama ulikuwa haujui hilo deni siku ukienda kukopa benki, benki husika wataangalia historia yako ya mikopo hapo ndipo watakapokosa uaminifu nawewe ndo utajua haujui!..
lipeni madeni yenu ya kwenye line za simu hizo ni cv.
Ukinyimwa mkopo benki shukuru.
Maana unachopewa na utakacholipa havina uhusiano hata kidogo.
Jamaa wa online loans waliniambia hutapata mkopo benki yoyote hapa nchini kwakuwa wananidai.
CRDB wakanipa pesa bila masharti
 
Kwamba imekula kwao?...walipe tu mkuu ili uweze kukopesheka zaidi kwani kimtindo hio mikopo ya mitandao husaidia pia
 
Ukinyimwa mkopo benki shukuru.
Maana unachopewa na utakacholipa havina uhusiano hata kidogo.
Jamaa wa online loans waliniambia hutapata mkopo benki yoyote hapa nchini kwakuwa wananidai.
CRDB wakanipa pesa bila masharti
mh! hivyo vikampuni vilivyofungiwa vilikuwa vinakutisha tu!.. nenda kwenye makampuni yaliyosajiliwa kihalali na BOT
 
Back
Top Bottom