Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani hacha kama mkuu kifurushi changu cha buku1500 ninachomaliza MB tu SMS na DK simaliziKwa usawa huu wa Tozo..hapa ndio Nyumbani...
View attachment 1878951
Tatizo kinaisha mapema sana
Ila MB n zakupeperukaKwa usawa huu wa Tozo..hapa ndio Nyumbani...
View attachment 1878951
Kwa hyo 2000 tigo unapewa na dk 200 bla kusahau sms
Tozo inausiana vp na vifurushi...?Yani hacha kama mkuu kifurushi changu cha buku1500 ninachomaliza MB tu SMS na DK simalizi ..
VIVA CHAASUBUHI..
Maumivu ya TOZO kwenda.
Ola Latina mpya paleplale
Namba moja SAIZI YAKOKifurushi kipi hicho?
Tunaotumia tigo tukutane hapa....
Kwa upande wangu sijawai kuwa muumini ya YoutubeHata kidogo....
Usiingie ma U tube...
Hii code gani inatoa gb 1 kwa 1000 Airtel?
Namba moja SAIZI YAKO