Tanzanite255
Member
- Apr 12, 2024
- 34
- 66
Hiyo huduma unajiunga mwenyewe*148*44# hakikisha unakua na tin number Id na hela kwenye account.hao mawakala mbona hatuwaoni huku mtaani
Ahsante kwa ufafanuzi, yas 🚮🚮Hiyo huduma unajiunga mwenyewe*148*44# hakikisha unakua na tin number Id na hela kwenye account.
Shida ya hawa Yas sijui tigo wanataka lazima kila mwezi ujiunge na hiyo huduma, ukiacha mwezi mmoja tu system inakutema.
Inagoma MkuuHiyo huduma unajiunga mwenyewe*148*44# hakikisha unakua na tin number Id na hela kwenye account.
Shida ya hawa Yas sijui tigo wanataka lazima kila mwezi ujiunge na hiyo huduma, ukiacha mwezi mmoja tu system inakutema.
Hao mawakala ndio vinara wa kuuuza laini kwa wale jamaa wa ile hela tuma kwenye namba hii!hao mawakala mbona hatuwaoni huku mtaani