Tigo SME

Tigo SME

Tanzanite255

Member
Joined
Apr 12, 2024
Posts
34
Reaction score
66
kampuni ya Tigo siku ya jana imeanzisha huduma ya SME huduma hii haina tofauti ya na ile ya Airtel changamkien fursa huko kitaan kwenu

mm sina access ila kitaan kwa mawakala imeanza + na Tigo shop bora SME kulko post paid inayo limbukiza maden Tigo wameandika kupata huduma 10k
IMG_8762.jpeg
IMG_8763.jpeg
 
Hiyo huduma unajiunga mwenyewe*148*44# hakikisha unakua na tin number Id na hela kwenye account.
Shida ya hawa Yas sijui tigo wanataka lazima kila mwezi ujiunge na hiyo huduma, ukiacha mwezi mmoja tu system inakutema.
Inagoma Mkuu
 
Back
Top Bottom