Tigo Tanzania mmenitapeli MB za ofa baada ya kununua simu kwenye duka lenu (Tigo shop)

Ni kweli mfumo wa kuunga gb ulikuwa unasumbua ila tayari umesharudi hewani nenda wakakuunge.
 
Nimerudi mara 3 ikowepo saa moja iloyopita ila jibu lao lilikua ni mfumo unasumbua
 
Back
Top Bottom