kocha Nabi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2022
- 709
- 1,881
watu wa 3 wamentafuta kwa voda wanasema tgo zao zimegoma.Tatizo simu yako
voda ipo hapo kama unavyoiona ila wengi wateja zangu wanapeana namba ya tigo.Hivi watu huwa mnashindwa nini kutumia voda..?
Mfanyabiashara unakuwaje na line Moja kama hirizi la mganga...?
kuna wengine zipo hewani pia. hongera kwa kurudishiwa. me bado.Hata kwangu ila umerudi
Wapeleke vodavoda ipo hapo kama unavyoiona ila wengi wateja zangu wanapeana namba ya tigo.
Mm shida ni moja napigiwa lakini simu inakuwa haipatikaniAisee hata mimi tena kuna mtu kanipigia kwa namba yangu ingine pia analalamika mtandao unazngua tigo inaandika hivyo hivyo.