Tigo Tanzania mna shida gani simu zinasoma "emergence call"?

Tigo Tanzania mna shida gani simu zinasoma "emergence call"?

kocha Nabi

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2022
Posts
709
Reaction score
1,881
Ndani ya dkk 10 zilizopita mawasiliano yangu na mteja yamekatika nilijua ni tatizo la simu. cha ajabu nikitafuta watu watsap nao wananiambia line yao ya tigo ipo emergence call.

Hii ndo line ya huduma ofisini kwangu ntakufaa njaa. Wahusika fanyieni kazi.
 
IMG_20231123_115230~2.jpg
 
Hivi watu huwa mnashindwa nini kutumia voda..?
Mfanyabiashara unakuwaje na line Moja kama hirizi la mganga...?
 
Hivi watu huwa mnashindwa nini kutumia voda..?
Mfanyabiashara unakuwaje na line Moja kama hirizi la mganga...?
voda ipo hapo kama unavyoiona ila wengi wateja zangu wanapeana namba ya tigo.
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Back
Top Bottom