Game of throne
Member
- Mar 6, 2014
- 86
- 12
Niko posta tena city centre lakini network mbaya mbovu,nashindwa hata ku download picha
Na hili tatizo ni la kila siku,sasa sijui network inazidiwa au ni mitambo mibovu.Watu tunaweka bundles za kueleweka lakini tunashindwa hata kuzitumia vizuri,mnadanganya watu na vi 4G vyenu feki,wakati edge tu yenyewe majanga
Kama mtakuwa makini basi mtalifanyia kazi hili swala maana ninafikiria kujiunga vodacom very soon.
Na hawa TCRA sijui wako wapi,wanashindwa kufuatilia issues kama hizi,sasa kama dar tunapata shida ya network kiasi hiki
je ndugu zangu wa kule Tandahimba si ndio balaa.
nawasilisha.