Tigo waja na kifurushi cha 30 GB kwa 1,000.

Tigo waja na kifurushi cha 30 GB kwa 1,000.

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
4,632
Reaction score
1,773
Hiki kifurushi kinakupa 30 GB kwa 1,000 bila kikoma kwa siku 3 mfululizo, kuanzia saa 5 usiku hadi saa 11 alfajiri. Sijajua ni bila kikomo kudownload au ku browse tu.
 
Yaani muda wa kulala ndo wanataka tuwe macho hawa vipi hawaaaa..tutatengeneza watoto saa ngapi

Hawapendi kufanya hivyo ! Ila inawabidi ! For customers benefits !

Mana wangefanya mchana mtandao hauwezi kuwa stable !
 
Hiki kifurushi kinakupa 30 GB kwa 1,000 bila kikoma kwa siku 3 mfululizo, kuanzia saa 5 usiku hadi saa 11 alfajiri. Sijajua ni bila kikomo kudownload au ku browse tu.

Nakuja juu ya meza ofisini ikitokea hivyo
 
Hawa Tgo siwaaminigi na spidi yao ila ngoja tukeshe nao leo..kama zitashuka kweli 30GB basi itakuwa funika bovu.
 
kusema speed bila kikomo maana yake ni hawalimit speed so ww kama una device ambayo inauwezo wa kuliza 3gb utamaliza
 
hawa jamaa wezi kama nn. mtandao majanga eti 3g? sitarudia tena kujiunga na ujinga wa tigo.
 
Ila Tigo raha sana, mi mwenyewe naipenda sana, japo wakati mwingine hainiridhishi speed yake hasa mchana, maana majirani wanakuwepo so nakosa muda mzuri kufaid speed nzuri ya Tigo!
 
Hiki kifurushi kinakupa 30 GB kwa 1,000 bila kikoma kwa siku 3 mfululizo, kuanzia saa 5 usiku hadi saa 11 alfajiri. Sijajua ni bila kikomo kudownload au ku browse tu.

obvious na kudownload pia, nani akeshe akisurf??
 
Mida hiyo wanaokuwa macho ni akina KOMBA na mwenzie MACHEMLI.
 
Back
Top Bottom