Tigo waja na kifurushi cha 30 GB kwa 1,000.

Tigo waja na kifurushi cha 30 GB kwa 1,000.

Hiki kifurushi kinakupa 30 GB kwa 1,000 bila kikoma kwa siku 3 mfululizo, kuanzia saa 5 usiku hadi saa 11 alfajiri. Sijajua ni bila kikomo kudownload au ku browse tu.

Tehteh! kwa wmezi huu wa WorldCUP itanifaa kusream mechi online na kudownload movie!
 
Kupanga ni kuchagua. ukitaka watoto acha kubrowse na ukitaka kubrowse ahirisha mpango wa kutafuta mtoto!
 
Hiki kifurushi kinakupa 30 GB kwa 1,000 bila kikoma kwa siku 3 mfululizo, kuanzia saa 5 usiku hadi saa 11 alfajiri. Sijajua ni bila kikomo kudownload au ku browse tu.

Hii haina faida labda kwa waloZ
 
Japo nimejiunga bado hawajanishawishi niendelee kujiunga na kifurushi hicho.

Nasubiri nione kama nitaendelea kukitumia kwa siku 3 zijazo bila kujiunga .

Speed iko vizuri
 
*148*00# ok, bonyeza 5 ok, bonyeza 1 ok, bonyeza 4 ok, bonyeza 1 kukubali kujiunga.
Kitakua kwa baadhi ya watu hiki.... 5 ni vile vifurushi vya Halichachi hakipo kwangu!
 
Kabisa, unakumbuka Ramadhan Ofa ile ya Halotel? Ilikua unlimited speed & bandwidth kwa 1000 tu kuanzia 00:00am mpaka 06:00am
Kumbe habari ya 2014. Ila inamaana gharama zimepanda namna hii!?Maana leo huwezi kukuta ofa kama hiyo.
 
Back
Top Bottom