Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Hiki kifurushi kinakupa 30 GB kwa 1,000 bila kikoma kwa siku 3 mfululizo, kuanzia saa 5 usiku hadi saa 11 alfajiri. Sijajua ni bila kikomo kudownload au ku browse tu.
Unakuja juu ya meza kufanya nini?
channels zote hizo zinazoonyesha world cup mpaka ustreamTehteh! kwa wmezi huu wa WorldCUP itanifaa kusream mechi online na kudownload movie!
Hiki kifurushi kinakupa 30 GB kwa 1,000 bila kikoma kwa siku 3 mfululizo, kuanzia saa 5 usiku hadi saa 11 alfajiri. Sijajua ni bila kikomo kudownload au ku browse tu.
Mtoto anatafutwa kwa dakika kadhaaa siyo usiku mzima.
Kifurushi kipi?Jmn mi toka nimejiunga sipati ofa yoyote ya kifurushi cha gb
Kitakua kwa baadhi ya watu hiki.... 5 ni vile vifurushi vya Halichachi hakipo kwangu!*148*00# ok, bonyeza 5 ok, bonyeza 1 ok, bonyeza 4 ok, bonyeza 1 kukubali kujiunga.
Kumbe habari ya 2014. Ila inamaana gharama zimepanda namna hii!?Maana leo huwezi kukuta ofa kama hiyo.