tiGO wajitenga na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Lissu. Wasema mmiliki wa sasa ni mwingine si yule wa nyakati za shambulio!

Kampuni ya TIGO imesema haihusiki na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Antipas Lisu

HONORA imesema kampuni mama ya Tigo haikuwa mmiliki Wakati Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anashambuliwa

Source Mwananchi
Kwamba mwanamke aliye kwenye ndoa kama ana kesi mahakamani ikitokea ameachwa na mume wake na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine makosa yake yanafutika?
 
Ila tigo au yanga tumewaazima mwanasheria wetu ambaye huwa hashindwiii...........!

Inamaana Kampuni ikiuzwa ikiwa na madeni, au kesi Mahakamani!! vinayeyuka?
madeni yanauzika lakini sio kesi bosi, mfano mlalamikaji anailalamika MIC TANZANIA na sio TIGO kwa sababu TIGO ni brand name na wala sio BUSINESS NAME, mwajili wa malalamikaji ni MIC TANZANIA na sio TIGO, kwaiyo Mlalamikaji awezi kulalamikia HONORA TANZANIA,
 
Nimekusoma
 
Wamejitahidi kuchomoa naona kiongozi umewashindilia tena kwenye TIGO yao, huwatakii mema mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…