Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Hii imekaa kijinai zaidi, ni rahisi kwa mzigo kuangukia kwa mfanyakazi.Inamaana Kampuni ikiuzwa ikiwa na madeni, au kesi Mahakamani!! vinayeyuka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii imekaa kijinai zaidi, ni rahisi kwa mzigo kuangukia kwa mfanyakazi.Inamaana Kampuni ikiuzwa ikiwa na madeni, au kesi Mahakamani!! vinayeyuka?
Damnn umenikumbusha mbali, na si business tu. Mali yoyote ile, kama ina mgogoro, dont do it😀Nimekumbuka mbali sana Mwl wangu wa Entrepreneurship alikuwa anauliza What are the things to consider when buying an existing business?
Moja ya Point ni Kesi na Madeni 😀
Kwamba mwanamke aliye kwenye ndoa kama ana kesi mahakamani ikitokea ameachwa na mume wake na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine makosa yake yanafutika?Kampuni ya TIGO imesema haihusiki na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Antipas Lisu
HONORA imesema kampuni mama ya Tigo haikuwa mmiliki Wakati Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anashambuliwa
Source Mwananchi
Ila tigo au yanga tumewaazima mwanasheria wetu ambaye huwa hashindwiii...........!
madeni yanauzika lakini sio kesi bosi, mfano mlalamikaji anailalamika MIC TANZANIA na sio TIGO kwa sababu TIGO ni brand name na wala sio BUSINESS NAME, mwajili wa malalamikaji ni MIC TANZANIA na sio TIGO, kwaiyo Mlalamikaji awezi kulalamikia HONORA TANZANIA,Inamaana Kampuni ikiuzwa ikiwa na madeni, au kesi Mahakamani!! vinayeyuka?
😂Ni sawa na kusema serikali ijitenge kwa sababu ilikuwa ni awamu ya tano, na hii ni ya sita!
wanajaribu kujificha kichaka kilekile cha adam na eva pale edenInayoshtakiwa ni Kampuni siô Mmiliki.
Hivyo Kesi bado Ipo palepale...
wanajaribu kujificha kichaka kilekile cha adam na eva pale eden
Kesi ipoHakuna kesi hapo
Nimekusomamadeni yanauzika lakini sio kesi bosi, mfano mlalamikaji anailalamika MIC TANZANIA na sio TIGO kwa sababu TIGO ni brand name na wala sio BUSINESS NAME, mwajili wa malalamikaji ni MIC TANZANIA na sio TIGO, kwaiyo Mlalamikaji awezi kulalamikia HONORA TANZANIA,
Ndio maana nguvu kubwa inatumika kuibatiza awamu hii ya tano kuwa ya sita. Mambo yanaanza kuchangamka!.Ni sawa na kusema serikali ijitenge kwa sababu ilikuwa ni awamu ya tano, na hii ni ya sita!
Wamejitahidi kuchomoa naona kiongozi umewashindilia tena kwenye TIGO yao, huwatakii mema mkuuInayoshtakiwa ni Kampuni siô Mmiliki.
Hivyo Kesi bado Ipo palepale.
Nilitegemea Wakanushe kuwa hawakufanya hivyo lakini Kwa kauli yao inathibitisha kuwa kitendo kilifanyika na kilifanywa na Kampuni ya Tigo, semà Mmiliki ni Mwingine.
Jina la Kampuni NI lilelile.
Wateja wa Tigo na Namba za tigo ni zilezile ikiwemo Mhanga àmbaye ni Tundu Lisu
Hivyo Kesi Hapo bado yamoto.
Kabisa😀Nimekumbuka mbali sana Mwl wangu wa Entrepreneurship alikuwa anauliza What are the things to consider when buying an existing business?
Moja ya Point ni Kesi na Madeni 😀
Unajielewa kweli? Mbona kama ni hivyo mtu akitaka kukimbia kesi basi anauza kwa mtu mwingine na kesi inaisha..!!hakuna kampuni inanunua kesi kwa sababu uwezi kumerg kampuni kama ina kesi,
Wamejitahidi kuchomoa naona kiongozi umewashindilia tena kwenye TIGO yao, huwatakii mema mkuu
tutafika tu hi ngoma ni mbio ndefu tunza pumziKuishitaki kampuni inaonekana ni mchakato sana..anyway let's see