Tigo wamemzuia msanii Mwana FA kuingia Fiesta Arusha

Tigo wamemzuia msanii Mwana FA kuingia Fiesta Arusha

Huyu FA heshima aliyojivunia itapotea yoote.
 
Nae kiki tu alienda kufanya nini? Hata mm nakutimua
 
Tangu wajitoe serengeti na kuingia tigo sijaudhuria tena fiesta. Yani imepoteza mvuto kiukweli.
 
Ndo yale yale, wakati jamaa anamtaka dada yako ulikua unamtimua kwa marungu, Mungu saidia kampata na wanafunga ndoa kwa kiherehere chako siku ya harusi unawahi ukumbini kucheza kwaito, sasa unategemea nini? Jamaa atazima muziki[emoji23][emoji23]

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Mdhamini ana nguvu ya kuzuia mtu asiingie?, au ni moja ya sharti la kupewa udhamini?...
 
HIVI TIGO WAMEFILISIKA KIASI HIKI HADI IWAUME NA WASHINDWE KULIPA VIBILIONI VIWILI TU ?
 
Hivi Barrick na De Beers wanaweza kutufanyia hivi eti?
 
Kwani lazima mtu kufika , hiki mwana Fa atulie asubr pesa yake maana tigo wao ndio waandaaji wa inshu nzima uwezi wapangia
 
Kuna script inatengenezwa ili atafutwe wakulaumiwa, Wakuzuia ni muandaaji au Mdhamini..?
Anaekaa Mlangoni ni Muandaaji au Mdhamini..? lengo la mdhamini ni kunadi bidhaa zake na brand yake, muandaaji nido mwenye asilimia kubwa ya kukuzuia usiingie, sidhani vigezo vya mdhamini vilimtaka muandaaji watu hao wasihudhurie tamasha hilo
 
Back
Top Bottom